Blac Chyna ni afiki yake kipenzi na TV star Kim Kardashian na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fake.
Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na sweta.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!