Home » » Shoga yake Kim Kardashian aumbuliwa na makalio bandia

Shoga yake Kim Kardashian aumbuliwa na makalio bandia

 
Oops! wahenga walisema ajali haina kinga........

Blac Chyna ni afiki yake kipenzi na TV star Kim Kardashian na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fake.

Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na sweta.

Inasemekana dada huyo alioneka akikimbilia kwa dotka kwa ajili ya marekebisho ya fasta.....majanga!!

Watu wanasema makalio ya Kim yanaweza kuwa bandia pia―Samaki mmoja akioza, wote wameoza heheh

Endelea kuangalia picha zake
 
 
Kim na Blac Chyna
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger