
Wengi wetu tmezoea kula mayai kwa ajili ya faida mbali mbali mwilini. Je unajua unaweza kutumia mayai kuondoa madoa/makovu ya chunusi bila madhara yoyote? Ni rahisi tu, paka ute wa yai kwenye uso wako.
Chukua mayai yako kama mawili, yavunje na tenganisha ute kutoka kwenye kiini, paka ute huo kwenye uso na kaa kama dakika 10 mpaka 15, kisha osha uso wako na maji baridi. Jifute na taulo safi na pumzika kwa muda.
Rudia kufanya hivyo kila siku, baada ya muda utaona mafanikio.
Acha kutumia chemicals ni hatari kwa ngozi na afya yako.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!