
Hivi karibuni mwanadada huyo aliamua kujibu shutuma za kujichubua na kusema yeye hajichubui ila ni Queen Elizabeth Cocoa Butter cream kutoka nchini Marekani ndio inamfanya awe hivyo.
Umm...me nimetumia sana products za cocoa butter but huwa hazichubui hata kidogo labda uchanganye ne chemicals nyingine.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!