Angalia mh. Rais akiwaapisha waziri na manaibu waziri wapya, katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, leo..
Ummy Mwalimu― Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais
George Boniface Tuguluvala Simbachawene― Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Kaika Saning’o Telele― Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Eng. Dr. Binilith Satano Mahenge― Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!