Aliyekua Naibu Waziri wa Nishati na Madini akisimamia Nishati, Mhe. George Simbachawene (wa tatu kushoto) akikabidhi majukumu ya ofisi kwa Naibu Waziri Mpya wa Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Charles Muhangwa Kitwanga katika hafla fupi ya makabidhiano hayo iliyofanyika kwenye Ofisi za Wizara ya Nishani na Madini,jijini Dar es Salaam.wanaoshuhudia ni baadhi ya watendaji wa Wizara hiyo.
Home »
» mhe. George Simbachawene akabidhi ofisi kwa naibu waziri mpya nishati na madini mhe. Charles Kitwanga.
mhe. George Simbachawene akabidhi ofisi kwa naibu waziri mpya nishati na madini mhe. Charles Kitwanga.
Posted by
Clicksomemore
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!