
Kanisa la Yeezus kama linavyoitwa ni kikundi cha watu wasiojulikana na wanaoamini Kanye ametumwa na Mungu duniani kwa ajili ya kizazi kipya.
Dini hiyo iliyoanzishwa mwezi uliopita inatumia kaulimbiu "THE BEST CHURCH OF ALL TIME!". Mbali na kuwa wafuasi wa Kanye, pia kuna sheria 5 za kuzifata kama muumini.
Muasisi wa dini hiyo ni kijana kutoka nchini Mareka, New Yory Liebman mwenye umri wa miaka 23.
Kujiunga na dini hiyo wapaswa kupiga picha au kutengenea video yako ukiwa unasema namwamini Yeezus “I Believe In Yeezus” alafu unaweka kwenye account yako ya mtandao wowote....Facebook, twitter etc.
Haya naona hawa tayari washakuwa waumini....lol jehanamu tutaingia wengi
Kanye akiimba nyimbo yake ya I Am a God kutoka kwenye albamu yake ya Yeezus huku akishirikiana na mtu aliyevaa vazi kama Yesu.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!