Home » » Asha Baraka ajitolea kumlea mtoto wa marehemu MCD na Mwantumu

Asha Baraka ajitolea kumlea mtoto wa marehemu MCD na Mwantumu

Asha Baraka amechukua jukumu la kumchukua mtoto wa marehemu Masoud Mohamed (MCD) aliyezaa na marehemu Mwantumu. Wote hawa walikuwa wafanyakazi wa ASET kwa miaka mingi japo kila mmoja ameshawahi kuondoka Twanga Pepeta lakini asilimia kubwa Mchango wao ulikuwa katika Bendi HIYO. Mtoto Hussein Soud Mohamed anasoma katika shule ya msingi Upanga. Mpiga gitaa la bass Jojoo Jumanne ndiye aliyepewa jukumu la kumchukua mtoto huyo na kumpeleka nyumbani kwa Asha Baraka ambako sasa makazi yake yatakuwa hapo na atasomeshwa na ASET ili kuenzi Mchango wa Wazazi hawa wawili. 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger