Picha hii imenaswa moja ya vijiwe vya vijana manispaa ya morogoro kama inavyooneka, kijana akiwa ameshusha suruali ili nguo ya ndani iweze kuonekanavyema na kiurahisi lakini cha kustajabisha nguo hiyo imeliwa na mende na kuacha pengo lililoonyesha sehemu ya mwili katika kalio la upande wa kulia, haikuwa kazi rahisi kuuliza swali kwa kijana huyo kwanini amevaa nguo ya ndani iliyotoboka ?, bila shaka swali hilo alipaswa kuulizwa na mzazi wake.
Home »
» Mambo ya kuiga mamtoni, hakikisha uko poa basi
Mambo ya kuiga mamtoni, hakikisha uko poa basi
Posted by
Clicksomemore
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!