Home » » ONE campaign video shooting...... Diamond, AY, D'banj na wengine wengi

ONE campaign video shooting...... Diamond, AY, D'banj na wengine wengi

Diamond na wasanii wengine wakishoot video ya wimbo huo wa pamoja, Jo berg, South Africa. Video hiyo ambayo ni ya One Campain inawashirikisha wasanii zaidi ya 20 huku Tanzania ikiwakilishwa na AY na Diamond. Wasanii wengine ni Femi Kuti (Nigeria), Diamond (Tanzania), Victoria Kimani (Kenya), D'banj (Nigeria), Fally Ipupa (DRC), Buffalo Souljah (Zimbabwe), Yvonne Chaka Chaka (South Africa), Mafikizolo (South Africa), Asa (Nigeria), Angelique Kodjo (South Africa), Vusi Nova (South Africa), Omawumi (Nigeria) na Wengine wengi.

Picha zaidi
D'Banj naVictoria Kimani
Victoria Kimani na Femi Kuti

Vusi Nova na Diamond
Victoria Kimani na Diamond
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger