Home » » Striker wa Shakhtar Donetsk, Maicon afariki dunia

Striker wa Shakhtar Donetsk, Maicon afariki dunia

Brazilian striker Maicon Pereira de Oliveira amefariki dunia katika ajari ya gari iliyotokea siku ya Jumamosi tareher 7, 2014.

Maicon alikuwa kwenye mkopo kutoka Shakhtar kwenda Ukrainian league club Illichivets Mariupol mpaka mwisho wa season 2013-14.

Taarifa zaidi juu ya ajari hiyo hazijatolewa. Kiungo huyo alikuwa na miaka 25.

Mungu ailaze roho yake mahari pepa...Amen!
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger