Home » » Taswira ya yaliyojiri kwenye car wash girls party dodoma, Masogange na miss tz wafunika mbaya

Taswira ya yaliyojiri kwenye car wash girls party dodoma, Masogange na miss tz wafunika mbaya

Mambo haya yalijifanyika huko DODOMA na kuitwa Car wash girls party watu wakipata burudani kutoka kwa warembo waliokuwa wakijivinjari. Na huku bunge la katiba likinguruma mambo ndiyo haya badala ya kazi ni wakati wakula raha. Hapa Agness Massogange akifanya mambo yake yaliyosababisha hadi pirato akatoa msamaha.
Mambo yalikuwa hivi warembo wakionyesha ufundi wa kujinyonga nyonga sehemu zao za kati. Hili mradi tu kutoa burudani kwa wapenzi na waandaaji wa Car wash girls party hiyo iliyofanyika ndani ya jiji lililo maalufu kwa vikao vya bunge (IDODOMYA.)
Miss akiosha gari kwa mashamushamu na pembeni watu wakipata urabu maisha yakiendelea bongo maisha tambalale.

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger