Home » » Timi Dakolo amzawadia mkewe nyumba siku za Valentines

Timi Dakolo amzawadia mkewe nyumba siku za Valentines

Bongo tushazoea mastaa na watu wengi siku kama ya Valentine huwatoa out wapenzi wao, lakini mwaka huu imekuwa tofauti kwa Timi Dakolo wa 9ja.

Mwanamziki huyo aliamua kumzawadia zawadi ya mjengo mke wake anaye fahamika kwa jina la Busola.

Haya sasa wewe ulipata nini siku hiyo #ValDay#Majanga

Angalia picha ya mjengo huo hapo chini....hatareeee!
 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger