
Anaitwa Amiyah Scott ambaye alizaliwa 1988 New York mwanaume na alikuwa akijulikanana kama, Arthur Scott. Mshkaji aliamua kujibadilisha 'transformation' kutoka mwanaume na kuwa mwanamke.
Amiyah ambaye ni model na pia make-up artist, alianza utaratibu huo akiwa na 17. Aliweka matiti, makalio, mashavu ya kike na mengineyo.
Mwanadada huyo aliandika 'mnajua sababu nimewaambia, mmeamini sababu nimewanyesha' kwenye kurasa yake ya Instagram leo hii asubuhi
#TBT The only reason you know is because I told you.. The only reason you believed me is because I showed you.Kwa mtazamo wangu... shes the World's HOTTEST transgender!!
Angalia picha yake nyingine kabla na baada ya mabadiliko hayo.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!