Akizungumza na U Heard ya Clouds FM,Wema amesema maisha yake ya furaha yanaendelea kama kawaida kwasasabu haangalii nyuma.
Katika hatua nyingine, Wema amekanusha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa kampuni yake, Mirror.I don’t want to talk about it,” amesema Wema. “Kwasababu hata siangalii nyuma you know maisha yameendelea am happy, that thing I want ni mimi kuwa happy,kwasababu nisingekuwa happy ningekuwa nasema labda Naima ananiumiza,lakini hawezi kuniumiza nimeshamwambia mpaka Naima. Nimemwambia ‘ishi maisha yako,fanya mambo yako’, mbona tunaongea tu na Naima fresh wala Naima na huyo mtu, yani they can do anything sitamind.Huyo mtu yupo na mtu wake,mimi nyenyewe si nipo na mtu wangu, kila mtu kashafanya mambo yake basi.
I can never do something like that,ukisema hivyo unanidisrespect mimi.Msikilize hapa chini...
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!