Lucci, ambaye alikuwa mchumba wa Fedha Kessy, hivi karibuni alifunguka kuhusu mahusiano yao na kuyasema haya:
P.S haijajulikana kama ndiye baba mtoto au la!
I'm with him, in my opinion, some information should be kept private......Nilikuwa na uhusiano na Feza, I even engaged her mwaka 2012, na kuna kazi nyingi ambazo nimeshawahi kumfanyia kimziki, bahati mbaya tulikuja kuachana.Tulikuwa pamoja for 2 years, actually moja ya sababu iliyofanya tuachane ni kwamba unajua kuna kuvumiliana na kupeana chances, alivoingia big brother mimi sikuwa na tatizo ila alivoanza niongelea vibaya mimi na familia yangu in public hiyo sikupenda kwakweli, unajua nnafahamiana na watu wengi, en kuna watu walikuwa wanafahamu kuhusu uhusiano wetu sasa kuanza kuongeleana vibaya sikupenda kwakweli.
P.S haijajulikana kama ndiye baba mtoto au la!
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!