Inasemekana kuwa msanii huyo alikuwa katika harakati zake za kushoot filamu yake mpya ambayo alicheza kama muhusika mkuu katika filamu hiyo.
Kilichowashangaza wenzake ni kwamba filamu iliisha jana Jumatatu 27/01/2014 na story ilimalizikia Victor kufa kwa kujinyonga.
Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijatambulika.
Msikilize Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Costantino Masawe azungumzia tukio la kujinyonya kwa msanii huyo
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!