Mwanamke huyu pichani kutoka Korea Kusini amepata shutuma kutoka kwa wadau mbali mbali baada ya picha zinazoonyesha sura yake kabla na baada ya surgery kusambaa mitandaoni.
Bidada huyo ambaye inasemekana ni mtangazaji wa TV kwenye kipingi kimoja cha TV nchini humo, alifanya surgery ya kidevu ili kiwe na umbo kama la ♥ "moyo" ― ambalo linapendwa na wanawake wengi kutoka barani Asia.
Korea ya kusini inajulikana kama soko kubwa la plastic surgery kuliko nchi yoyote duniani . Kati ya wanawake watano, mmoja amefanya marekebisho ya sura.
Surgery hufanywa hususani na wanawake kati ya umri wa miaka 19 mpaka 49.
Mi kwa mtazamo wangu hajafanya ya kidevu tu, sura nzima...so sad!!
Mi kwa mtazamo wangu hajafanya ya kidevu tu, sura nzima...so sad!!
Jamani mbona kajiharibu hivyo? dunia imekwisha kila kitu fake mpaka binadamu
ReplyDelete