Mwigizaji na mmiliki wa kipindi nchini Marekani,
Oprah Gail Winfrey leo ametimiza umri wa miaka
60. Oprah ambaye amejishindia tuzo mbalimbali kupitia kipindi chake cha 'The Oprah Winfrey Show' alizaliwa Januari 29, 1954 Mississipi nchini Marekani.
Kheri ya kuzaliwa Oprah
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!