Hii inaitwa mgeni njoo mwenyeji apone.....
Biashara ya ukahaba ni halali nchini Brazili na imekuwa ikifahamika kama sehemu maarufu kwa ajili ya watu kutoka nje wanaohitaji huduma hiyo.
Biashara hiyo haramu inatarajia kuongezeka kimapato wakati wa kombe la dunia.
Raisi wa chama cha machangudoa, bi Cida Vieira, amesema lengo la kujifunza lugha ya kingreza ni kwa ajili ya mapatano ya bei na masiliano mengine.
Mpaka sasa changudoa 300 wameshajiunga na kozi hiyo.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!