Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye jumba la Big Brother Africa na rapper Jackson Makini aka CMB Prezzo, hivi karibuni amepigwa kibuti na mpenzi wake wa kitanzania anayeishi Marekani Starlisha aka Chagga Barbie kwa madai ya kumcheat na Huddah Monroe na wanaweke wengine.
Wakati mapenzi yanaanza kuchanua kati yao mwaka jana, wengi tulidhani huenda zile drama zilizojitokeza kwa wapenzi wengine wa rapper huyo waliopita zingepungua au kuisha kabisa, lakini tayari kuna bomu limeshalipuka.
Pia aliweka picha ya mwanaume ambaye yuko mtupu na kinanilihu chake kidogo na kuita 'kibamia' huku akimlenga Prezzo.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!