Njia:
-Osha uso wako safi kabisa, kisha changanya ute wa mayai mawili [toa kiini] na limau moja zima.
- Piga mchanganyiko huo kwa muda wa dakika 3, hakikisha umelainika kabisa.
- Paka mchanganyiko huo usoni kwa kutumia blashi ya make up au mikono [hakikisha ni misafi]
- Pumzika kwa dakika 30 [ ni vizuri kujilaza], kisha osha uso wako vizuri.
- Utaona mabadiliko ya haraka kwenye ngozi yako na pia yenye kung'ara.
Kila kitu ni kujaribu....achana na machemicals cancer nje nje
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!