Home » » Changudoa nchini Brazil wasoma 'english course' kujiandaa na wateja wa kombe la dunia 2014

Changudoa nchini Brazil wasoma 'english course' kujiandaa na wateja wa kombe la dunia 2014

Hii inaitwa mgeni njoo mwenyeji apone.....

Inasemekana changudoa nchini Brazil wanachukua english cource tayari kwa kukabiliana na wateja wakati wa kombe la Dunia 2014 linaloanza tarehe 15 mwezi wa sita mwaka huu..

Biashara ya ukahaba ni halali nchini Brazili na imekuwa ikifahamika kama sehemu maarufu kwa ajili ya watu kutoka nje wanaohitaji huduma hiyo.

Biashara hiyo haramu inatarajia kuongezeka kimapato wakati wa kombe la dunia.

Raisi wa chama cha machangudoa, bi Cida Vieira, amesema lengo la kujifunza lugha ya kingreza ni kwa ajili ya mapatano ya bei na masiliano mengine.

Mpaka sasa changudoa 300 wameshajiunga na kozi hiyo.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger