Home » » Faraja Kota azindua kitabu chake cha 'Unaweza'

Faraja Kota azindua kitabu chake cha 'Unaweza'

#Unaweza Book Launch. Unaweza - Mbinu Kumi za Kumudu Masomo Yako ni kitabu cha kujenga uwezo wa wanafunzi kumudu changamoto za maisha ya shule na masomo yao.

Uzinduzi wa kitabu hiki umefanyika Maktaba Kuu ya Taifa kuhamasisha waTanzania kupenda kusoma na kuwapa vitabu hivi hamsini kwa watumiaji wa Maktaba hii. #Elimu #Tanzania #Unaweza #Tunaweza
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger