Jarida hilo lililovuja jana kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii hususani blogs and websites, linaonyesha wanamziki Nicki Minaj and chezazi maarufu wa kikapu ligi ya Marekani 'NBA' ,Kobe Bryant ndio sura za jarida hilo lenye cover “The Music Issue”.
Pia ndani ya jalrida hilo kuna stori kuhusu Eminem, Kendrick Lamar n.k
Jarida ESPN The Magazine linatarajiwa kuwa sokoni siku ya Ijumaa,January 24.
Angalia picha nyingine, bofya Read more


0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!