Home » » Kimenuka: Mwanamuziki Keri Hilson na mchumba wake star wa NBA,Serge Ibaka waachana!

Kimenuka: Mwanamuziki Keri Hilson na mchumba wake star wa NBA,Serge Ibaka waachana!

Kwa mujibu wa ripoti, mwimbaji wa Kimarekiani  Keri Hilson (31), na mchumba wake mchezaji wa mpira wa kikapu NBA,Serge Jonas Ibaka Ngobila (24), wameamua kila mmoja kwenda na njia yake baada ya kuwa wapenzi kwa muda wa mwaka mmoja.  

Kwa mujibu wa mtandao wa MTO, uhusiano wao ulikuwa wenye migogoro na sio mara ya kwanza kuachana.

Sababu ya kuvunjika kwa penzi hilo bado haijajulikana. Pamoja na kwamba  Keri alikuwa na hamu ya kuolewa na alimpenda sana jamaa, naona ameamua enough is enough.......

Sikiliza Power 105.1 FM kwa taarifa zaidi
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger