Mchekeshaji na mwakilishi wa kipindi cha The E! Fashion Police Joan Rivers inadaiwa kumwita mtoto wa Kim Kardahsina na Kanye West, North mbaya na anahitaji waxing , kwa wale wasiojua waxing ni njia mbadala ya kutoa vinyweleo kutumia asali.
Mwanamama huyo mwenye miaa 80 alitoa kali hiyo na kuwaambia umati wa watu walioudhuria moja ya kipindi chake cha uchekeshaji katika ukumbi wa Saban siku ya Januari 17,Los Angeles.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!