Home » » Jamani huu ni uungwana?

Jamani huu ni uungwana?

Mpenzi wa tajiri kutoka Russia na mliki wa timu ya Chelsea, Roman Abramovich, Dasha Zhukova amepata lundo la lawama kwenye twitter na mitandao ya kijamii mbali mbali kwa kuwepa picha ya kiti hapo juu siku maalamu ya kumuenzi Martin Luther King. Watu wengi wamemshutumu mrembo huyo kuwa ni mbaguzi na picha ni ya udhalilishaji.

Dasha aliamua kutoa picha hiyo na kuomba msahama.

Je we wakionaje hicho kiti?
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger