Home » » Muigizaji The Rock amnunulia mfanyakazi wao wa ndani gari lenye thamani ya dola 40,000

Muigizaji The Rock amnunulia mfanyakazi wao wa ndani gari lenye thamani ya dola 40,000

Embedded image permalink
Aliyekuwa mwanamieleka WWE  kwa sasa muigizaji, Dwayne Johnson, anayefahamika kwa jina la 'The Rock', amemnunulia msaidizi wake wa ndani ambaye amedumu kwa miaka kumi gari la kifahari.

Muigizaji huyo ameweka picha yake na msaidizi huyo kwenye Twitter wakiwa wamekula pozi pembeni ya gari hilo la aina ya  2013 Ford Edge Limited Edition lenye thamani ya $40,000.

Jamani kumbukeni uaminifu,uadilifu na uchapakaji wa kazi inalipa
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger