Mtaalamu wa michoro ya mwili (tattoo) kutoka Uruguay Victor Hugo Peralta na mkewe, kutoka Argentina Gabriela Peralta wameingizwa kwenye kumbukumbu ya kitaabu cha "Guinness World Records" kama wanandoa wenye michoro mingi kuliko wote duniani. Mbali na tattoo, pia wametoga miiwili yao.
Wanando hao wana jumla ya michoro77.
Endelea kutazama picha, bonyeza Read more
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!