Home » » LOL shabiki wa Man U apiga simu 999 kulalamika baada ya kichapo cha jana

LOL shabiki wa Man U apiga simu 999 kulalamika baada ya kichapo cha jana

Hahaha kuwa shabiki ni gonjwa la moyo. Shabiki mmoja wa Manchester United "Red devils' kapiga simu 999 ambayo ni namba ya dharula "Emergency number" ya nchini Uingereza akilalamika kushidwa kwa timu yake dhidi ya Sunderland jana usiku na kuomba kuongea na Alex Furgurson ambaye ni meneja mstaafu wa timu hiyo.

Shabiki huyo kutoka Crumpsall, North Manchester ambaye jina lake halikujulikana, ameita kushindwa kwa mechi ya jana ni 'crime'. Msikilize hapo juu
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger