
Dereva mmoja kutoka mexico amejikuta anatumikia rumande kwa usiku mmoja baada ya kasuku wake kumchomea kwa polisi.
Guillermo Reyes alisimamishwa na polisi kwa wajili ya kuchekiwa 'alcohol checkpoint' baada ya kuhisiwa kuwa anaendesha gari huku akiwa amekunywa.
Kasuku alisikika kutoka ndani ya gari akisema “He’s drunk, He’s drunk,” akiamanisha ni kweli jamaa amekunywa.
Jamaa huyo na kasuku wake walijikuta wakisekwa ndani na kutoka kesho yake.
kwa kasuku ndio faida ya kuwa mbeya, na kwa jamaa anapaswa ajue kwa nini watu wanafuga mbwa au paka hehehe.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!