Home » » Majanga: Matumizi mapya ya dawa ya kikohozi

Majanga: Matumizi mapya ya dawa ya kikohozi

'Codeine Sprite' ipo kwenye chati kwa sasa. Ilianza kutumiwa na wamerekani naona sasa imeenea duniani kote, vijana wadogo wa kike na kiume wanatumia cough syrup Codeine to get high.

Nasikia dawa hiyo ya kikohozoi ya maji inanywewa tupu au wanachanganya na na soda aina ya sprite au Mountain Dew au saa nyingine na pipi aina ya Jolly Rancher ― badala ya kunywa kijiko cha chai kimoja au viwili km maelezo ya daktari yanavyosema.

Inasemekana mchanganyiko huo unawafanya wawe high,watulivu na walale.

Mahitaji ya Codeine kwa sasa yamekuwa ya juu kiasi cha kufanya iwe ni gharama na adimu.

Je unafirkiri kuzidisha dozi ya dawa hiyo ni salama au la...toa maoni yako!!
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger