
Mtumiaji wa kitabu cha sura aka facebook mkongwe kuliko wote, bi Edythe Kirchmaier, leo ametimiza miaka 106. Kirchmaier alisaidiwa na rafiki yake kufungua account ya fb mwaka 2013,akiwa na miaka 105.
Wakati wa kusajili aliingiza mwaka wa kuzaliwa 1908. Ilichukua takribani mwezi mmoja kwa wataalamu wa mtandao ( site’s engineers) kumpitisha kwani ni kitu ambacho hawajawahi kukutana nacho toka Facebook ianze.
Kirchmaier ana marafiki zaidi ya 45,000 kwenye kurasa yake malumu ya facebook na likes kama 105,000.
Kirchmaier ana marafiki zaidi ya 45,000 kwenye kurasa yake malumu ya facebook na likes kama 105,000.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!