Home » » Birdman wa Cash Money aonyesha choo chake cha dhahabu

Birdman wa Cash Money aonyesha choo chake cha dhahabu


Tumia pesa ikuzoee!♥ ―  Mwana hip hop na mmiliki wa Cash Money Records kutoka Marekani, Bryan Williams, anayefahamika kwa jina la Birdman au Baby, amemua kuja kivinigne.......

Msanii huyu anayesifika kwa kumiliki vitu vingi vya kifahari kama magari, nyumba, na hata ndege binafsi, jana ametia fola pale alipoonyesha picha ya choo chake cha dhahabu kwenye ukurasa wake wa Instagram..

Inasemekana bei ya choo hicho ni $1milion ambayo ni kama 1,620,000,000 Tzs......upo hapo?

Duh! maisha haya...wenginge hawajui kesho watakula nini, huku wengine wanatumia vyoo vya gold.....smh!
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger