Read what is trending in Ghana............
Yasemekana biashara ya watoto chotara kwa lugha ya kigeni ' mixed race baby ' au point 5 kama tulivyozoea kuita, imeshamiri katika jiji la Accra nchini Ghana.
Kwa kisasi cha $3,000, unaweza kujipatia mtoto chotara bia hata kuingiliana kimapenzi na mtu wa asili tofauti, mfano Mzungu.
Kuwa na mtoto chotara nchini humo kwa sasa ni hotcake, kwani kila kijana wa kike or kiume wanatamani kuwa na mausiano na watu weupe.
Haya jamani, unataka mtoto wa kichotara, wala usihangaike kuwinda mzungu, kata ticket yako huyooo Ghana LOL
Kwa full article tembelea tovuti hii Infoboxx.com
Home »
» Biashara ya watoto chotara yashamiri nchini Ghana
Biashara ya watoto chotara yashamiri nchini Ghana
Posted by
Clicksomemore
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!