Wengi wenu mtakua mnamjua au mmeshawahi kusikia jina la Cossy Orjiakor aka Miss boobies. Cosy ni actress na Singer kutoja 9ja ambaye ni simulizi nchini humo kwa vituko vyake hususani kwenye twitter, facebook, Instagram, blogs na websites.
Hapo juu akiwa kwenye sexy costume party ndani ya Nightclub siku ya Valentino (Valentines Day). Angalia picha zake mbali mbali hapo chini.




0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!