Home »
» Check kipini cha pua cha Erykah Badu
Check kipini cha pua cha Erykah Badu
Mwanamziki wa R&B kutoka nchini Marekani, Erykah Badu anajulikana kwa style yake ya pekee lakini hiki kipini duh! ni hatareee. Sote twajua wabongo kwa kuiga style za mamtoni ndio wenyewe, Je hapa vipi? hahaha
Posted by
Clicksomemore
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!