Home » » Makonda wa dala dala Kenya waogeshwa hadharani

Makonda wa dala dala Kenya waogeshwa hadharani

Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa iliyopita. Makonda hao wa dalala dala maarufu nchini Kenya kama "matatu" walilazimishwa kuoga hadharani kwa kinachaodaiwa wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa wananuka na hivyo kuathiri biashara. Makonda hao waliogeshwa huku wadau wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni swala la lazima.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger