Home » » Adam Kuambiana wa bongo movie afariki dunia

Adam Kuambiana wa bongo movie afariki dunia

Marehemu Adam Kuambiana enzi za uhai wake.

Msanii wa maigizo na muongozaji wa filamu za Kitanzania (Bongo movies), Adam Kuambiana, amefariki dunia ghafla asubuhi ya leo.
Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo.
...katika pozi na msanii Irene Uwoya
(kushoto) akiwa na wasanii wenzake JB (kutoka kulia), Tino na Mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi

Baadhi ya kazi alizocheza/kuongoza marehemu Kuambiana:
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. amen!

Habari via GPL
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger