Marehemu Private Brian Salvatory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia tarehe 15 Mei,2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alipokuwa akitibiwa.
Askari wa JWTZ wakishusha kaburini mwili wa mpiganaji mwenzao

Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua.
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!