Bongo movies kunani?
Muongozaji wa Bongo Movies na vipindi mbalimbali vya television hapa nchini,George Tyson, (Baba Sonia), amefariki dunia, kwa ajali mbaya wakati akitokea Dodoma, maeneo ya Gairo, akiwa pamoja na timu ya The Mboni Show, ambao pia wamejeruhiwa vibaya sana.
Kwa sasa mwili wa Marehemu na majeruhi, wamepelekwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Pia kumbuka George Tysona aliwahi kuwa mume wa msanii Monalisa, na wakabahatika kuzaa mtoto mmoja anayeitwa Sonia.
R.I.P George Tyson.
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!