Home »
» Diamond akiwa na ommy dimpoz kuwasha moto live ndani ya jiji la London.
Diamond akiwa na ommy dimpoz kuwasha moto live ndani ya jiji la London.
Diamond na vijana wake WASAFI Classic wakisindikizwa na Ommy Dimpoz watawasha moto leo ndani ya Oasis. Ommy nae atazindua wimbo wake mpya 'NDAGUSHIMA' live. Hi event si ya kukosa......So leo tukutane pale Oasis.
Posted by
Clicksomemore
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!