Home » » Lulu ndani ya kivazi na lipstic nyekundu kwenye Proin Group of CompaniesNew Year dinner party.

Lulu ndani ya kivazi na lipstic nyekundu kwenye Proin Group of CompaniesNew Year dinner party.

Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu. Proin group of company ilifanya pati ya shoka ya kuukaribisha mwaka mpya na wadau wake ndani ya mjengo wa Tranic plaza. Endelea kuangalia picha

pendeza sana
Aunty Ezekiel
Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Infinity Communication Stella Sakia
Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere akiongea na wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi waliohudhuria sherehe hiyo..... kivazi
Wolper katika picha ya pamoja na Meneja masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited
Baadhi ya wafanyakazi kutoka Proin Promotions Limited kampuni moja wapo iliyopo chini ya Proin Group of companies.
Wawakilishi wa Makampuni yaliyo chini ya Kampuni Mama ya Proin Group of Companies wakiwa tayari kufungua shampeni
Baadhi ya wakurugenzi wa makampuni yaliyo chini ya Proin Group of Companies wakikata keki Kama ishara ya kuukaribisha Mwaka 2014
Raha ya sherehe ni Msosi na Mziki.............
Haya baada ya msosi wadau wakiserebuka Kwaito...
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger