

Chao sasa amepanda dau mara mbili ya ofa aliyotoa mwanzo na kufanya kuwa HK$1million ambayo ni £80m baada ya mabachelor kushindwa kumuoa binti yake huyo anayeitwa Gigi .
Takribani ya wanaume 20,000 walionyesha nia ya kuwa na Gigi lakini hawakuwa tayari kumuoa.
Tajiri huyo mwenye umri wa miaka 77 kutoka Hong Kong, anasisitiza kuwa binti yake Gigi (34) ni single ingawa ameolewa miaka miwili iliyopita na mpenzi wake wa siku nyingi Sean Eav ambaye pia ni mwanamke (Pichani kushoto)
Chao anasema anataka binti yake aolewe na awe na watoto.
Haya kazi kwenu all single and available men out there......hahaha!
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!