Home » » Rick Ross anunua nyuma ya vyumba 109

Rick Ross anunua nyuma ya vyumba 109

Yasemekana mwana Hip hop Rick Ross amenunua nyumba yenye vyumba 109 iliyokuwa ya bigwa wa masumbwi  uzito wa juu  Evander Holyfield.

Nyumba hiyo ina Sehemu ya kulia chakula yenyeu wezo wa kumudu wageni 100, sehemu ya kuogelea ya ndani na ya nje yenye uwezo wa kubeba zaidi galoni 350,000 za maji, sehemu ya kuangalizia sinema 'movie theater' yenye siti 135 na uwanja wa baseball..

Hata hivyo vizuri gharama, Evander amedokeza kuwa ilikuwa ikimgharimu takribani $1million kuitunza nyumba hiyo na kama $17,000 kwa ajili ya bili ya umeme.

Ross amenunua nyumba hiyo mwaka mmoja baada ya bondia mstaafu kushindwa kuilipa deni la bank $7.5million. Hata hivyo bado haijafahamika Rosey alitumia shilingi ngapi kununua jumba hilo.

Endelea kusuza macho na picha.....
duh! kweli pesa heshima .......shikamoo makelele!
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!

chatroom

Chatroom - socialize, be funny and make friends:)
 
Support : visit other blog here
Copyright © 2013. 247 Swahili News - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger