Snoop Lion na ganja......kama uji na mgonjwa hehehe
Kikosi cha zima moto nchini Australia wamejikuta wakitoa mbio kuelekea kwenye chumba cha hotel aliyofikia Snoop jijini Melbourne wakidhani kuna ajali ya moto baada ya kustuliwa na alarm, matokeo yake wanamkukuta kumkuta jamaa yuko bize anavuta bangi.
Tukio hilo limetokea siku ya alhamisi ambapo kikosi hicho cha uokoaji kilijikuta kikitoa macho wakati Snoop alipowakaribisha chumbani kwake na kupiga nao picha.
Baadae snoop wa double G alipost kupitia page yake ya Instagram 'Blew it Down' and 'Fire dept Shut it down.'
Kitengo cha zima moto kimegoma kutoa maoni yoyote kama ilikuwa ni bangi....lol, wanauliza makofi polisi
Home »
» Snoop Dogg apuliza bangi kupitiliza, asabaisha moshi mzito, alarm yapiga kelele
Snoop Dogg apuliza bangi kupitiliza, asabaisha moshi mzito, alarm yapiga kelele
Posted by
Clicksomemore
0 comments:
Post a Comment
Tunashukuru kwa kuitembelea blog yetu, Acha maoni yako hapo chini, tafadhari usichafue hali ya hewa. Karibu tena!!